Definition of chopoa in Swahili

chopoa

transitive verb

 • 1

  toa kwa nguvu kitu kilichofungwa pamoja na vitu vingine.

  ‘Chopoa ukuni’

 • 2

  vuta kwa nguvu kitu kilichonata au kilichokwama.

 • 3

  toa kitu kwa nguvu kutoka kwenye mkono.

 • 4

  iba kutoka mfukoni mwa mtu.

Pronunciation

chopoa

/t∫ɔpɔwa/