Ufafanuzi wa chora katika Kiswahili

chora

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya picha ya kitu au mtu kwa kalamu au kitu kingine cha kuandikia au kutilia alama.

Matamshi

chora

/t∫ɔra/