Ufafanuzi wa choroko katika Kiswahili

choroko, chooko

nomino

  • 1

    nafaka ya rangi ya kijani ya jamii ya kunde lakini ndogo zaidi.

    pojo