Ufafanuzi wa chorombozi katika Kiswahili

chorombozi

nominoPlural machorombozi

  • 1

    zawadi anayopewa mtu aliyepata kitu kilichopotea.

    kiokosi

Matamshi

chorombozi

/t∫ɔrɔmbɔzi/