Ufafanuzi wa choti katika Kiswahili

choti

nominoPlural choti

  • 1

    ua wa mbao uliotengenezwa kwa vigingi vilivyopigiliwa ardhini.

Matamshi

choti

/t∫ɔti/