Ufafanuzi msingi wa chovya katika Kiswahili

: chovya1chovya2chovya3

chovya1

kitenzi elekezi

 • 1

  tia kitu katika maji au kitu cha majimaji kisha ukakitoa.

  ‘Chovya kidole mchuzini’

Matamshi

chovya

/t∫ɔvja/

Ufafanuzi msingi wa chovya katika Kiswahili

: chovya1chovya2chovya3

chovya2

nomino

 • 1

  kitu cha kughushi kilichotiwa rangi isiyo yake.

Matamshi

chovya

/t∫ɔvja/

Ufafanuzi msingi wa chovya katika Kiswahili

: chovya1chovya2chovya3

chovya3

nomino

 • 1

  ugonjwa unaosababisha mwili kuvimba.

Matamshi

chovya

/t∫ɔvja/