Ufafanuzi wa chuana katika Kiswahili

chuana

kitenzi sielekezi

  • 1

    shindana, agh. katika mchezo.

  • 2

    shindana

Matamshi

chuana

/t∫uwana/