Ufafanuzi wa chubwi katika Kiswahili

chubwi

nominoPlural chubwi

 • 1

  kipande cha risasi au kitu kizito kilichofungwa kamba ili kupimia usawa wa ukuta unaojengwa.

  timazi

 • 2

  bildi

 • 3

  kitu kizito kinachofungwa kwenye mshipi wa kuvulia samaki.

Matamshi

chubwi

/t∫ubwi/