Ufafanuzi wa chuchia katika Kiswahili

chuchia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    enda mbele na nyuma.

    ‘Chuchia kichwa’
    tikisika

Matamshi

chuchia

/t∫ut∫ija/