Ufafanuzi wa chuchio katika Kiswahili

chuchio

nominoPlural machuchio

  • 1

    utikisaji wa kitu.

  • 2

    uitaji wa pepo au shetani.

  • 3

    komoo

Matamshi

chuchio

/t∫ut∫ijɔ/