Ufafanuzi wa chuchunge katika Kiswahili

chuchunge

nominoPlural chuchunge

  • 1

    samaki wa baharini mwenye mdomo mrefu kama upanga.

    mchumbururu

Matamshi

chuchunge

/t∫ut∫ungɛ/