Ufafanuzi wa chujua katika Kiswahili

chujua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    fifisha rangi ya kitu.

  • 2

    tia maji mengi kupita kiasi katika chakula au kinywaji mpaka kikaharibika au kikatoka ladha yake.

Matamshi

chujua

/t∫uʄuwa/