Ufafanuzi wa chujuka katika Kiswahili

chujuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    toka rangi mpaka ififie.

    parara

  • 2

    poteza uzuri au umaridadi wa kitu.

    ‘Jirani amechujuka siku hizi baada ya kuacha kazi’

Matamshi

chujuka

/t∫uʄuka/