Ufafanuzi wa chukizo katika Kiswahili

chukizo

nominoPlural machukizo

  • 1

    kitu kisababishacho kuchukia au kukasirika; jambo linalochukiza watu.

Matamshi

chukizo

/t∫ukizɔ/