Ufafanuzi wa chukuana katika Kiswahili

chukuana

kitenzi sielekezi~isha

  • 1

    kuwa na tabia zinazofanana.

    landana

  • 2

    saidiana.

Matamshi

chukuana

/t∫ukuwana/