Ufafanuzi wa chule katika Kiswahili

chule

nominoPlural chule

  • 1

    alama za michirizi myeupe inayobaki mwilini baada ya mtu kuoga kwa maji ya chumvi.

    chunyu

Matamshi

chule

/t∫ulɛ/