Ufafanuzi wa chumbia katika Kiswahili

chumbia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    peleka maombi kwa wazazi wa binti kutaka kumwoa.

    posa

Matamshi

chumbia

/t∫umbija/