Ufafanuzi msingi wa chumvi katika Kiswahili

: chumvi1chumvi2

chumvi1

nominoPlural chumvi

  • 1

    madini meupe ambayo hutiwa katika chakula wakati au baada ya kupika ili kuongeza ladha au utamu.

    ‘Chumvi ya unga’
    munyu

Ufafanuzi msingi wa chumvi katika Kiswahili

: chumvi1chumvi2

chumvi2

nominoPlural chumvi

  • 1

Matamshi

chumvi

/t∫umvi/