Ufafanuzi wa chuna katika Kiswahili

chuna

kitenzi elekezi

  • 1

    ondoa ngozi ya mnyama aliyechinjwa au aliyekufa.

    chubua