Ufafanuzi wa chunguza katika Kiswahili

chunguza

kitenzi elekezi

  • 1

    dadisi jambo ili kujua undani wake.

  • 2

    angalia kitu kwa makini k.v. mgonjwa, ili kujua hali yake.

    angaanga, tafiti

Matamshi

chunguza

/t∫unguza/