Ufafanuzi msingi wa chuni katika Kiswahili

: chuni1chuni2

chuni1

nominoPlural chuni

  • 1

    aina ya ndege wa majini.

Matamshi

chuni

/t∫uni/

Ufafanuzi msingi wa chuni katika Kiswahili

: chuni1chuni2

chuni2

nominoPlural chuni

  • 1

    hali ya kumwambia mtu jambo hilo kwa hilo ili kumuudhi.

    ‘Shikia chuni’
    stihizai, inadi

Matamshi

chuni

/t∫uni/