Ufafanuzi msingi wa chunusi katika Kiswahili

: chunusi1chunusi2

chunusi1

nominoPlural chunusi

  • 1

    mnyama anayeaminiwa na baadhi ya watu kwamba yumo baharini na huzamisha watu.

Matamshi

chunusi

/t∫unusi/

Ufafanuzi msingi wa chunusi katika Kiswahili

: chunusi1chunusi2

chunusi2

nominoPlural chunusi

  • 1

    kipele kinachoota katika uso wa mtu.

    kidudusi, kijiwe, chungu, dutu

Matamshi

chunusi

/t∫unusi/