Ufafanuzi wa chupa ya chai katika Kiswahili

chupa ya chai

  • 1

    chombo maalumu chenye chupa ndani na nje ganda la bati au plastiki, hutumiwa kuwekea kitu cha moto k.v. chai ili kibaki moto au cha baridi kibaki baridi.