Ufafanuzi msingi wa chura katika Kiswahili

: chura1chura2chura3chura4

chura1

nominoPlural vyura, Plural machura

 • 1

  mnyama mdogo mwenye ngozi laini, asiye na mkia, ambaye anarukaruka sana, akaaye katika nchi kavu na katika maji.

Matamshi

chura

/t∫ura/

Ufafanuzi msingi wa chura katika Kiswahili

: chura1chura2chura3chura4

chura2

kivumishi

 • 1

  -a mwisho.

 • 2

  mwisho, agh. hutumiwa na watoto wadogo wanapocheza michezo yao k.v. ngome au gololi.

Matamshi

chura

/t∫ura/

Ufafanuzi msingi wa chura katika Kiswahili

: chura1chura2chura3chura4

chura3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  sababisha ndege mbaya; leta kisirani.

 • 2

  fanya jambo lisilo la kawaida.

Matamshi

chura

/t∫ura/

Ufafanuzi msingi wa chura katika Kiswahili

: chura1chura2chura3chura4

chura4

nominoPlural vyura, Plural machura

Matamshi

chura

/t∫ura/