Ufafanuzi wa churura katika Kiswahili

churura

kitenzi sielekezi

  • 1

    tiririka kwa maji.

    churuzika

Matamshi

churura

/t∫urura/