Ufafanuzi msingi wa chururu katika Kiswahili

: chururu1chururu2chururu3

chururu1

kivumishi

 • 1

  -enye maji mengi.

  ‘Mchuzi chururu’

Matamshi

chururu

/t∫ururu/

Ufafanuzi msingi wa chururu katika Kiswahili

: chururu1chururu2chururu3

chururu2

nominoPlural chururu

 • 1

  mdudu mdogo katika jamii ya buibui ambaye anaishi chini ya ardhi.

Matamshi

chururu

/t∫ururu/

Ufafanuzi msingi wa chururu katika Kiswahili

: chururu1chururu2chururu3

chururu3

nominoPlural chururu

 • 1

  kuvuja kwa kitu, agh. cha majimaji.

  mfululizo

Matamshi

chururu

/t∫ururu/