Ufafanuzi wa churuzika katika Kiswahili

churuzika

kitenzi sielekezi

  • 1

    tiririka kama vile maji yanavyomwagika polepole.

    churura

Matamshi

churuzika

/t∫uruzika/