Ufafanuzi wa chusa katika Kiswahili

chusa

nominoPlural vyusa

  • 1

    chombo mfano wa mkuki lakini chenye meno matatu na kinachotumika katika kuvulia samaki wakubwa k.v. papa, nguru au chewa.

Matamshi

chusa

/t∫usa/