Ufafanuzi wa chutama katika Kiswahili

chutama

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    methali ‘Muungwana akivuliwa nguo huchutama, hasimami’
    otama, totama

Matamshi

chutama

/t∫utama/