Ufafanuzi wa chuuza katika Kiswahili

chuuza

kitenzi elekezi

  • 1

    uza vitu rejareja dukani au kwa kuvitembeza njiani au majumbani.

Matamshi

chuuza

/t∫u:za/