Ufafanuzi wa chwechwe katika Kiswahili

chwechwe

nominoPlural chwechwe

  • 1

    alama za matabaka mbalimbali ya mti wa mbao; mahali katika mti au ubao ambapo huwa na rangi nyingine.

Matamshi

chwechwe

/t∫wɛt∫wɛ/