Ufafanuzi wa daa katika Kiswahili

daa

nominoPlural daa

  • 1

    mnyoo anayechimbuliwa topeni na kutumiwa kuwa chambo cha kuvulia samaki.

    choo, mwata

Matamshi

daa

/da:/