Ufafanuzi wa daathari katika Kiswahili

daathari

kitenzi elekezi

  • 1

    tia hatarini.

    angamiza, teketeza

  • 2

    vunja, haribu, umbua

Asili

Kar

Matamshi

daathari

/da aθari/