Ufafanuzi wa dabwadabwa katika Kiswahili

dabwadabwa, debwedebwe

kivumishi

  • 1

    -enye maji au mafuta mengi.

    rojorojo, teketeke, laini