Ufafanuzi wa dada katika Kiswahili

dada

nominoPlural madada

  • 1

    ndugu mkubwa wa kike.

  • 2

    ndugu yeyote wa kike.

  • 3

    jina la heshima kwa mwanamke yeyote.

Matamshi

dada

/dada/