Ufafanuzi wa dadisa katika Kiswahili

dadisa

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    vika au zungushia nguo kiunoni k.v. wafanyavyo wanawake.

    tatiza

Matamshi

dadisa

/dadisa/