Ufafanuzi wa dadisi katika Kiswahili

dadisi

kitenzi elekezi

  • 1

    peleleza jambo kwa kuulizauliza.

    dahili, taaradhi, uliza, tafiti, saili, dodosa, hoji

Asili

Kar

Matamshi

dadisi

/dadisi/