Ufafanuzi wa dafrao katika Kiswahili

dafrao, dafrau

nominoPlural dafrao

  • 1

    mgongano wa nguvu baina ya vitu viwili au zaidi vilivyo katika mwendo k.v. gari na baiskeli au na mtu.

    ‘Kumbwa na’

  • 2

    Kibaharia
    ngao ipunguzayo nguvu ya mgongano wakati chombo kinapogongana na kingine.

Asili

Kar

Matamshi

dafrao

/dafraɔ/