Ufafanuzi msingi wa dahili katika Kiswahili

: dahili1dahili2

dahili1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  taka kujua habari za watu kwa kuulizauliza.

  dadisi

 • 2

  sajili wanafunzi.

 • 3

  ingilia mtu katika kazi yake.

Asili

Kar

Matamshi

dahili

/dahili/

Ufafanuzi msingi wa dahili katika Kiswahili

: dahili1dahili2

dahili2

nominoPlural dahili

 • 1

  pato linalopatikana kutokana na biashara.

Asili

Kar

Matamshi

dahili

/dahili/