Ufafanuzi msingi wa dai katika Kiswahili

: dai1dai2

dai1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa

 • 1

  taka kupewa kilicho chako kutoka kwa mtu mwingine.

  ‘Dai pesa’
  ‘Dai talaka’
  wia

 • 2

  shikilia jambo unalosema au unaloamini, agh. inapokuwa si la kweli.

Asili

Kar

Matamshi

dai

/daI/

Ufafanuzi msingi wa dai katika Kiswahili

: dai1dai2

dai2

nominoPlural madai

 • 1

  habari inayosemwa ambayo haijathibitishwa.

 • 2

  (agh. katika wingi)

Matamshi

dai

/daI/