Ufafanuzi msingi wa daima katika Kiswahili

: daima1daima2

daima1

kielezi

  • 1

    bila ya kukoma.

    maisha, milele, abadi, dahari

Asili

Kar

Matamshi

daima

/daIma/

Ufafanuzi msingi wa daima katika Kiswahili

: daima1daima2

daima2

kivumishi

  • 1

    -a kudumu; -a milele.

Matamshi

daima

/daIma/