Ufafanuzi wa daluga katika Kiswahili

daluga

nomino

  • 1

    kiatu kilicho na soli yenye nundunundu kitumikacho katika kuchezea mpira wa miguu.

Matamshi

daluga

/daluga/