Ufafanuzi wa damiri katika Kiswahili

damiri

kitenzi sielekezi

kishairi
  • 1

    kishairi (hutumika katika kauli ya kutendewa) haribikiwa kabisa.

    ‘Damiriia, damiriika, damiriisha’

Asili

Kar

Matamshi

damiri

/damiri/