Ufafanuzi wa damisi katika Kiswahili

damisi

nominoPlural damisi

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuchekacheka na watu.

    mcheshi, mtu mwenye vitendo vya mikasa ya kufurahisha watu

Asili

Kar

Matamshi

damisi

/damisi/