Ufafanuzi wa danda katika Kiswahili

danda

kitenzi elekezi

  • 1

    pita juujuu.

  • 2

    rukia kitu k.v. gari linapokuwa linakwenda.

    dakia

Matamshi

danda

/danda/