Ufafanuzi wa dandia katika Kiswahili

dandia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    jipakia kwenye chombo kinachosafiri k.m. meli au gari bila idhini ya mwenye chombo.

    dakia

  • 2

    rukia chombo cha usafiri kinachoenda k.v. gari.

    rukia

Matamshi

dandia

/dandija/