Ufafanuzi wa dang’a katika Kiswahili

dang’a

nomino

  • 1

    maziwa ya kwanza ya mnyama baada ya kuzaa.

    kiamo, tamari

Matamshi

dang’a

/daŋa/