Ufafanuzi wa danganya katika Kiswahili

danganya

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    sema au tenda jambo lisilo la kweli kwa ajili ya kuwafanya watu walifikirie la kweli; sema uongo.

    ghuri, geresha, hadaa, kadhibu, kenga, ghilibu, zingizia, kimba, chenga, ongopa, vunga, laghai

Matamshi

danganya

/dangaɲa/