Ufafanuzi wa dangirizi katika Kiswahili

dangirizi

nominoPlural madangirizi

  • 1

    suruali ndefu iliyoshonwa kwa kitambaa kigumu, agh. cha rangi ya buluu.

Asili

Kng

Matamshi

dangirizi

/dangirizi/