Ufafanuzi wa dapia katika Kiswahili

dapia

kitenzi elekezi

  • 1

    ruka kutoka tawi moja la mti hadi jingine kama wafanyavyo wanyama k.v. kima au tumbiri.

Matamshi

dapia

/dapija/